NUH:SHILOLE KWANGU BADO MREMBO TENA MBICHI KABISA

Mbongo flava nuh mziwanda pamoja na kukumbwa na kichapo mara kwa mara wadakuzi wa michepuko wamebaini kumbe hilo sio tatizo kwake maana yupo pale kujia vyake tu hichi ndicho alichoweka kwenye kurasa yake ya instagram!!!.
 
 
Nuh alitupia picha hiyo hapo chini nakuweka ujumbe huu "Mtoto Mbichiii namla kiulaini".
 
 .
 

Comments