MAJAMBAZI KUTOKA ITALI WAKAMATWA


AKIONYESHA JERAHA ALILOPIGWA RISASI
 
Habari zinasema kuwa polisi mkoani dar es salaam jana mchana walifanikiwa kuwatia mbaroni majambazi wawili ambao inasemekana ni raia wa italia baada ya kupora kiasi cha dola elfu kumi kwa mwananchi ndipo polisi walipoanza mapambano nao na hadi kuwatia nguvuni baada ya luwadhibiti na risasi.PICHA ZOTE KWA MSAADA MITANDAO 

Comments