KANYE AAMUA KUMPA SAPOTI KIM KWA PICHA CHAFU


Rapa

Kanye West
ametumia tena kurasa yake ya twitter kumpa ushirikiano mke wake katika kusambaza baadhi ya picha mpya za Kim K akiwa mtupu kwenye photo shoot aliyofanya hivi karibuni. Kanye West amekuwa mtu tofauti na mashabiki walivyo tegemea baada ya kuonekana kutokerwa na maisha anayoishi Kim K kama mapema ilivyotabiriwa kuwa atambadilisha mwanamke wake.







Screen Shot 2015-03-16 at 3.47.59 PM
Screen Shot 2015-03-16 at 3.47.49 PM
 Screen Shot 2015-03-16 at 3.48.16 PM

Comments