WEMA AELEZEA SABABU YA KUPENDA KUBUSIANA MDOMONI NA MARAFIKI ZAKE

 
Picha zinazomuonyesha Wema Sepetu akimbusu rafiki yake Aunt Ezekiel zimeleta maswali mengi kutok kwa watu wanaofuatilia maisha ya mastaa hawa, yakiwemo je ni wapenzi wa jinsia moja au walikuwa wamelewa wakati wanafanya mambo haya.

Kwenye Interview leo Wema ameniambia "Yes i kissed her like i kiss any person who is so close to me" Wema aliendelea kusema "Its not only her, i kiss my mum, my daughter, ma sister , people who are close to me i kiss them "

Wema ameniambia kukiss mtu ambaye yupo karibu na wewe sana ni kawaida na haswa wasichana wanaopendana na ni marafiki ni kawaida kwao kukiss kwenye lips na sio denda kama inavyotafsiriwa.


Comments