NEY WA MITEGO APATA MTOTO WA KIUME

10748202_881663258521951_1323233080_n 
Mtoto wa Nay akiwa na bibi yake
Mchumba wa rapper Nay wa Mitego, Siwema amejifungua mtoto wa kiume jana ambapo pia ilikuwa ni siku ya kuzaliwa kwa mama wa msanii huyo.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram,
Nay ameandika:Ooooooh my goooooood!!!! Leo ni cku ya kuzaliwa mama angu mzazi,,, tukiwa 2nakata cake napigiwa cm nimepata mtoto wakiume… yani kazaliwa cku 1 na bibi yake,,! Hao apo wamezaliwa leo… Asante Mungu..

Comments