DIAMOND AFANYA KUFURU USIKU WA KUAMKIA LEO HUKO DODOMA


 Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' akifanya makamuzi ya nguvu usiku wa kuamkia leo ndani ya Ukumbi wa Matei Lounge, Area D mkoani Dodoma kwenye Usiku wa Diamond Platnumz.
 Diamond akiwadatisha mashabiki wake waliofurika kwa ajili ya Usiku wa Diamond Platnumz.


Comments