WANAFUNZI WALIOTAKA KUJIUNGA VYUO VIKUU WAKOSA NAFASI

Students 1 
Kwa ufupi ni kwamba Tume ya vyuo vikuu imetangaza kwamba Wanafunzi wapatao elfu 12 wanaotaka kujiunga na elimu ya vyuo vikuu Tanzania wamekosa nafasi za kujiunga na vyuo hivyo kwa sababu ya walichagua sehemu zenye ushindani mkubwa na wamekosa nafasi sababu alama zao zilikua ndogo.

Comments