JOHN BOCCO KUIKOSA MECHI YA JUMAPILI


NJE WIKI TATU! Captain John Bocco pamoja na jana kufanya mazoezi katika Gym ya kisasa pale Chamazi - Azam Complex, lakini vipimo alivofanyiwa mchana na mtaalamu (physiotherapist) Gilbert Kigade pale Msasani Peninsula Hospital ili kuangalia maendeleo yake, alibainisha kwamba Bocco anatakiwa apumzike kwa wiki 3 huku akipata matibabu. Bocco anasumbuliwa na maumivu ya misuli na hivyo ataikosa mechi ya Jumapaili dhidi ya Yanga na pia michezo 3 ya mwanzo ya Ligi kuu ya Vodacom.
Photo: NJE WIKI TATU! Captain  John Bocco  pamoja na jana kufanya mazoezi katika Gym ya kisasa pale Chamazi - Azam Complex,  lakini vipimo alivofanyiwa  mchana na mtaalamu  (physiotherapist) Gilbert  Kigade  pale Msasani Peninsula Hospital ili kuangalia maendeleo  yake, alibainisha  kwamba Bocco anatakiwa apumzike kwa wiki 3 huku akipata  matibabu. Bocco anasumbuliwa  na maumivu ya misuli  na hivyo ataikosa  mechi ya Jumapaili  dhidi ya Yanga na pia michezo  3 ya mwanzo ya Ligi kuu ya Vodacom.



Comments