ZITTO KABWE AUMBUKA BAADA YA KUMKANA DIVA EMBU ONA HIZI MESEJI ZA ZITTO


Ukishangaa ya musa utayaona ya firauni, hivi karibuni baada ya zitto kumkana Diva mtangazaji wa alla za roho wa clouds FM, Kuwa hajawahi kuwa naye kimapenzi na Diva amekuwa akijitangaza sana amekuwa naye kimapenzi, sasa Diva kamuanika hadarani ona hapo chini, ila duu huyu mwanamke ni kiboko,salaleeeeee




Comments