SHABIKI WA NICKI MINAJ AAMUA KUFANYA HIVI KATIKA KICHWA CHAKE

Huyu jamaa anastahili kuitwa Super Fan yani shabiki wa ukweli, amechukua muda na wake kwa kinyozi na gharama za kumlipa ili amnyoe nywele zake kwa style ya picha ya Nicki Minaj inayonekana kwenye cover la wimbo wake ‘Anaconda’.
katy-perry-nicki-minaj__oPt
shabiki

Comments