PICHA:MWONDOKO WA KIM KARDASHIAN WAWADATISHA MAPOLISI

Kim Kardashian aliwahi kutajwa kuwa miongoni mwa wanamitindo wachache duniani wenye mvuto zaidi bila kuwa na kipodozi chochote mwilini mwao. Hivi karibuni Kim alikuwa kwenye mizunguko ya kazi zake kama kawaida na kujikuta kwenye eneo lenye usalama wa polisi sababu ya watu maarufu waliokuwa kwenye duka hilo, wakati anatoka polisi hao walishindwa kujizuia kutazama mwondoko wa Kim kama picha zinavyoonyesha.
kim k 10
kim k 11
kim k 22

Comments