KAMA UWAJUI MABODGUARD WA LINAH NA DIAMOND WACHEKI HAPA

Ulinzi kwa msanii mkubwa ambaye hujichanganya na watu tofauti ni muhimu sana na mara nyingi tumeona walinzi hawa wakingia kwenye matatizo sababu ya kuwalinda wasanii au watu maarufu. Tanzania mpaka sasa tuna wasanii wachache walioweza kumiliki ulinzi huu sababu ya usimamizi na kazi zao za kila siku. Hapa ni Linah wa No Fake Zone Entertainment na Diamond.

Bodyguard wa Linah Anaitwa Hilary.
Bodyguard wa Linah Anaitwa Hilary.
Diamond Na Bodyguard wake Mwarabu
Diamond Na Bodyguard wake Mwarabu

Comments