JOKETI AKUTANA NA WEMA KATIKA NDEGE LEO

Screen Shot 2014-08-09 at 2.25.00 PM
Jokate aliwahi kukiri  kwamba aliwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Diamond kwa muda usiozidi miezi miwili ambapo wakati yuko na Diamond zilitoka stori nyingi pia kuhusu uhusiano wa Wema na Jokate kuingia matatizoni.

Comments