JAQUAR SIJAFUNGA NDOA BADO

Screen Shot 2014-08-25 at 5.33.37 AM
Jaguar aliandikwa na vyombo kadhaa vya habari Kenya kwamba amekwenda kufunga ndoa ya Mwanamke wa maisha yake nchini Afrika Kusini ambapo picha zilianza kusambaa toka wiki iliyopita.
kwenye exclusive na Hotmixmziray.com Jaguar amesema ni kweli wengi walidhani ni ndoa amekwenda kufunga ila ukweli ni kwamba hiyo ni video yake mpya ambayo inatoka Jumatatu ya leo August 25 2014.
Screen Shot 2014-08-25 at 5.32.04 AM
Pulse Magazine Kenya.

Screen Shot 2014-08-25 at 5.33.31 AM 
Screen Shot 2014-08-25 at 5.33.19 AM 
Screen Shot 2014-08-25 at 5.33.12 AM

Comments