FLOYD MAYWEATHER AONESHA NA YEYE JEURI YA PESA

Picha: Floyd Mayweather huogeshwa na msichana maalum asiye mpenzi wake, kama mtoto! 
Bondia Floyd Mayweather ambaye anadaiwa kutumia pesa nyingi sana kwa maisha ya anasa ameweka wazi maisha yake ya ndani na kuonesha jinsi anavyohudumiwa bafuni kwa kuoshwa na msichana maalum asiye mpenzi wake.

Floyd amepost picha na ujumbe Instagram akiogeshwa bafuni na mrembo mmoja na kueleza kuwa hivyo ndivyo huianz siku daima. 
 
Kweli mpenzi wa Maywether, Bad Medina ni wa kipekee, kumruhusu msichana mwingine awe anakaa bafuni na mpenzi wake tena akimuosha 

Comments