DIAMOND ATUMIA WIMBO WA TAARABU KUWAKEJERI WANAOTAKA AACHANE NA WEMA

  Diamond atumia wimbo wa Taarab kuwakejeli wanaotaka aachane na Wema
Diamond atumia wimbo wa Taarab kuwakejeli wanaotaka aachane na Wema
posted 13 hours ago by admin
Diamond Platinumz amepost kwenye Instagram kipande cha wimbo wa Taarab kinachowakejeli wote wanaotaka yeye na mpenzi wake Wema Sepetu watengane.

Katika kipande hicho cha video, ameunganisha picha mbalimbali akiwa amepoz na Wema kuonesha jinsi ambavyo penzi lao liko Imara. "Umewaona....?????

Comments