DIAMOND AKANUSHA KUWEPO KESHO KATIKA MECHI YA SIMBA

 
Kunataarifa Nazidi Kuziskia zikitangazwa kuwa Eti kesho nitakuwa Uwanja wa Taifa kwenye hafla ya Team Ya Simba....SI KWELI!!! NI UONGO!!! Kesho Nitakuwa MWANZA CCM Kirumba kwenye Tamasha la FIESTA!...

Comments