BODI YA WAKURUGENZI YACHAGUA VIONGOZI WAPYA WA JUMUIYA YA DWV




Juu na chini ni Bodi ya wakurugenzi ikiongozwa na Dr. Mwamoyo Hamza akiwemo Harun Ulotu ambao ni bodi ya wakurugenzi ya Jumiya DMV ikiwakabidhi madaraka uongozi mpya Rais bwn. Iddi Sandaly, Makamu wa Rais Harriet Shangarai, Katibu Said Mwamende na makamu katibu Bi.Bernadeta Kaiza. Makabidhiano yalifanyika kwenye ukumbi wa park uliopo Silver Spring, Maryland nchini Marekani na kufuatiwa na BBQ ya nguvu iliyojumuisha wanaDMV.
  
  
Katibu na makamu wa katibu wakifuatilia makabidhiano.
 
Bodi ya wakurugenzi wakielekeza makabidhiano
 
Rais na Makamu wa Rais wakifuatilia makabidhiano.

Comments