STEVE NYERERE:MIMI SIYO SHOGA....


Steve nyerere msanii wa bongo movi na mwenyekiti wa bongo muvi amesikitika kutokana na maneno yanayosemwa kuwa yeye ni shoga.
Aliongeza kusema mimi namwachia mungu ila wajue mimi si shoga kwani nina familia na watoto kwanini mnanichafua jamani.

Comments