STEVE NYERERE AWAFANYIA SUPRISE WASANII......

Steve nyerere ambae ni mwenyekiti wa bongo muvi aliamua kuwafanyia suprise wasanii wa bongo muvi,muziki na wadau wa filamu kwa kuwaandalia chakula cha usiku baada ya kufuturu.Aliamua kushirikiana na waislamu wote duniani kwa kujumuika pamoja.






Comments