MASKINI HAPINESS MILLEIN MAGESE....

 
Mwanamitindo wa dunia hapiness millein magese sasa ndo yuko katika hali hii baada ya kujitambua kuwa yeye ni tasa sasa amepata tatizo la kibofu ambalo tatizo hilo linamfanya anashindwa hata kukojoa kwa njia ya kawaida.

 

Comments