MAMA DIAMOND:DIAMOND NI LAZIMA AMUOE WEMA KWA NAMNA YOYOTE...




Mama diamond afunguka ya moyoni kuwa mwanae nasibu a.k.a diamond ni lazima amuoe wema kwani ni mwanamke mwenye roho nzuri na mwenye sifa za kuwa na diamond.

Comments