JUX AANZISHA CLOTHING LINE... on July 18, 2014 Get link Facebook Twitter Pinterest Email Other Apps Mwanamuziki Jux ameanzisha clothing line kwa watu wote.Yeye ameingia katika orodha hiyo ya kuwa miongoni mwa wanamuziki wanaomiliki clothing line kama lil wyne,jay z na nelly. Nguo hizo zitapatikana sinza katika duka la STAR LOOK. Comments
Comments
Post a Comment