BAADA YA KARIAKOO SKYLIGHT BAND WANAKUJA NA PASUA TWENDE

 Baada ya kuachia nyimbo ya kariakoo wanamuziki wa skylight band wameachia nyimbo yao mpya ya Pasua Twende iliyofanywa katika studio zao za Skylight Production zilizozinduliwa wakati wanazindua nyimbo ya Kariakoo.

Comments