SHILOLE AJIACHIA SHANGA NJE MBELE YA VIGOGO DODOMA



Mwanamuziki shilole a.k.a shishi bby aliweza kujiachia bila kujari katika ukumbi huo kuna wabunge,mawaziri na viongozi wakubwa pamoja na rais jakaya mrisho kikwete,alicheza mpaka cheni kuonekana kiunoni.

Comments