RIHANNA APATA DILI UARABUNI....




 Mwanamuziki robie rihanna kutoka marekani amepata dili katika kampuni ya majarida iitwayo HARPER'S BAZAAR.Ambapo rihanna a.k.a riri ametoka kivingine katika jarida hilo kwani aliweza kufavaa nguo ndefu kuanzia juu mpaka kidole gumba.





Comments