HAMISA KUWAFUNIKA WASANII WAKONGWE...





Modo hamisa ameweza kufanya vizuri katika tasnia ya filamu ambayo ni muvi yake ya kwanza ambapoaliweza kuifa vizuri kiasi kwamba hata madairector wameweza kusema ataweza kuwafunika wasanii wakongwe kama kina jackline wolper,johari na wengine kibao.

Comments