DIVA WA CLOUDS FM AJIACHIA NA TEMBA NA CHEGE..


 Diva ambae ni mtangazaji maarufu ameweza kuwa mwanamuziki mzuri ambae jana alipost picha hizi katika account yake ya instragram akiwa na chege na mh temba wakiwa rocation wakishuti nyimbo mpya ya chege na temba chini ya mkubwa fella


Comments