DACOTA AWAPA CHEUPE WAKINADADA,,,

Mtangazaji mahiri asiyekuwa na skendo mjini dacota khamis amefunguka katika mtandao wake wa kijamii kuhusu kina dada ambao hawajajitambua na kuishia kuchezewa kwa kupenda bata pasipo kufikiria maisha au jinsi ya kuwashauri wapenzi,waume zao kuhusu maisha ila wao hufikiria bata(starehe)na kujua kila aina ya raha.na kuongeza kuwa wataishiwa kuolewa wadada wenye shepu za kawaida na sura za kawaida kuliko kuwa na mwanamke mzuri asiyejua maendeleo.kina dada inabidi tubadilike kwani dacota ajakosea kasema ukweli.


Comments