WASANII WAMPONGEZA DIAMOND PLATINUMZ......



Msanii diamond apongezwa na wasanii wenzie kwa kuweza kuwa mmoja wapo wa wasanii wanaogombea tunzo za BET wasanii kama ben pol amesema msanii diamond ni mtu wa kuigwa kwani amewatia moyo wa kuweza kufanya vizuri katika kazi za musiki .

Comments