TAZAMA TATOO ZA IRENE UWOYA NI HATARIIII!!!!!!!.

Muigizaji wa kike maarufu  wa  jina  la  Irene  Uwoya  ametoa  kali  ya  mwaka  baada  ya  kujichora  tatoo  makalioni  na  kiunoni  na  kisha  kujipiga  picha  na  kuitupia  mtandaoni.....
  Kupitia  ukurasa  wake  wa  Instagram, Uwoya  alizitundika  picha  hizo  na  kuwaacha  mashabiki  wake  watiririke  kwa  maoni  na  mapendekezo  kuona  kama  amependeza  au  hajapendeza..

Comments